Source; wanabidii@googlegroups.com |
Wagonjwa wamejifunika kanga za 'Chagua CCM'
Ilani ya CCM ya Mwaka 2005 ilitaja kujenga zahanati kila kijiji.
"Hakuna ainisho jingine la Uhai wetu zaidi ya Ukweli unaopatikana katika kuwasiliana" Karibu Tusemezane!!!
Source; wanabidii@googlegroups.com |
Posted by John J. Malata at 12:45 AM
1 comment:
Tutaamshana sana lakini ambao bado wameuchapa ni wengi na ndo wanaumia mimi siku hizi sihangaiki hata kidogo naangalia kwa macho tu. suluhisho la hii hali ni mpaka watanzania 95% wapate Elimu na hatimaye wajikwamue na ugumu wa maisha.
Bwana malata, ni vigumu sana kwa mtu aliye na njaa kukumbuka msaada wa baadaye wakati chakula anakihitaji sasa, tutalalamika sana lakini ukweli ndo huo na watapeta hivi hivi mnawaona na hao wenye hali ngumu unaowaonea huruma ndo wanasaidia ushindi wa kishindo huku wewe ukijifanya una uchungu.
Ila siku zinakuja, ipo siku kitaeleweka whether tuko hai au tumeshachukuliwa na sir GOD hata wao wanalitambua hilo, watapiga kiatu mwisho wa siku wataacha wenyewe, Haihitaji nguvu kaka.
Kama ni mwana historia, kuna dora kibao zilishawahi kuanguka lkn zilikuwa imara sana.
Kaka piga chaki yako usiumize kichwa, Hangaikia maisha yako, ukianza kufikilia hizo kanga utaumiza kichwa chako, we unadhani hawajuwi kama wabongoo wana maisha magumu?
Kazi njema uana harakati huanza hivi hivi, kila la kheri kaka.
Post a Comment