Thursday, September 2, 2010

Hii ndiyo Tanzania ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania


Source; wanabidii@googlegroups.com
Hii ni mojawapo ya vituo vya kutolea huduma ya Afya nchni Tanzania.
Wagonjwa wamejifunika kanga za 'Chagua CCM'
Ilani ya CCM ya Mwaka 2005 ilitaja kujenga zahanati kila kijiji.