tag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.comments2023-04-26T06:10:51.980-07:00AMKENI !!!!!John J. Malatahttp://www.blogger.com/profile/13597602518154749410noreply@blogger.comBlogger28125tag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-42108190763487573662015-03-10T23:41:11.052-07:002015-03-10T23:41:11.052-07:00Wadau nimesoma comments zenu kwa makini sana,this ...Wadau nimesoma comments zenu kwa makini sana,this is part of my interest. Nimekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti ngazi ya wilaya kwa kipindi kimoja, mwaka huu pia nagombea.

Chama kina mapungufu ya msingi ikiwemo uwazi katika mapato na matumizi ya fedha. Naomba yeyote mwenye data za wanapata kiasi gani katika makusanyo ya kodi za wapangaji kwenye majengo ya chama anihusishe. Kuna usiri wa hali ya juu! mfumo unaotumika kuwapata watumishi wa chama ni siri tupu! kwa kutaja baadhi.

Kumekuwa na ubaguzi wa chini chini kati ya wakimu wa sekondari na msingi, mfano nilikuwa mgombea pekee wagombea wenzangu walishawishi walimu wa msingi kutokubali nafasi hio kwenda sekondari bila sababu za msingi. Hivyo walitumia wingi wao isivyo halali kupata viongozi. Inasikitisha sana! baadhi ya walimu hawana imani na chama baadhi wanafikiria zaidi kuhama kada baadhi wamekatishwa tamaa baadhi wamekata tamaa wenyewe wengine hawajui la kufanya! binafsi naamini katika mabadiliko sababu mabadiliko ndio maisha. Nyakati siku miaka ngozi na nk hubadilika, so we have to adopt or influence changes but we have to bare the cost! Siamini katika kukata tamaa wala kujidharau sababu hatuna sababu za kujidharau wala kudharaulika. Nimefanya utafiti tofauti za muundo wa mishahara kati ya TGTS na TGS hakuna tofauti! mazingira ya kazi ndio tofauti kubwa. WALIMU WANAPASWA KUBADILI MINDSET! na kuwa na viongozi makini wenye kudhamiria mabadiliko na sio ukomredi tu!

nafatilia nipeni point!

ezra manjerenga.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/04867245767321357302noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-30966484444511526272013-11-15T20:08:06.260-08:002013-11-15T20:08:06.260-08:00Naomba kupata historia ya maisha ya Profesa Seithy...Naomba kupata historia ya maisha ya Profesa Seithy Chachage, alikozaliwa, alikosoma na familia yake!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-73460652733102745232011-01-10T15:01:12.662-08:002011-01-10T15:01:12.662-08:00kazar torebki
to torebki kazar sklep internet...kazar torebki
to torebki kazar sklep internetowy , torebki kazar , torebki damskie batycki . torby damskie , torebki skorzane ?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-2762479803495529962011-01-01T05:40:01.261-08:002011-01-01T05:40:01.261-08:00Just popping in to say nice site.Just popping in to say nice site.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-11574521727781309222010-11-30T02:53:17.942-08:002010-11-30T02:53:17.942-08:00People around the world are traveling to Bolivia b...People around the world are traveling to Bolivia because of its beautiful tourist spots and adventures, and in terms of a good place where you could stay in which is affordable and comfortable, here is the right place for you.

Hostels in OruroJameshttps://www.blogger.com/profile/06186467108016060541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-38144853534542948692010-09-04T13:23:54.963-07:002010-09-04T13:23:54.963-07:00Tutaamshana sana lakini ambao bado wameuchapa ni w...Tutaamshana sana lakini ambao bado wameuchapa ni wengi na ndo wanaumia mimi siku hizi sihangaiki hata kidogo naangalia kwa macho tu. suluhisho la hii hali ni mpaka watanzania 95% wapate Elimu na hatimaye wajikwamue na ugumu wa maisha.

Bwana malata, ni vigumu sana kwa mtu aliye na njaa kukumbuka msaada wa baadaye wakati chakula anakihitaji sasa, tutalalamika sana lakini ukweli ndo huo na watapeta hivi hivi mnawaona na hao wenye hali ngumu unaowaonea huruma ndo wanasaidia ushindi wa kishindo huku wewe ukijifanya una uchungu.

Ila siku zinakuja, ipo siku kitaeleweka whether tuko hai au tumeshachukuliwa na sir GOD hata wao wanalitambua hilo, watapiga kiatu mwisho wa siku wataacha wenyewe, Haihitaji nguvu kaka.

Kama ni mwana historia, kuna dora kibao zilishawahi kuanguka lkn zilikuwa imara sana.

Kaka piga chaki yako usiumize kichwa, Hangaikia maisha yako, ukianza kufikilia hizo kanga utaumiza kichwa chako, we unadhani hawajuwi kama wabongoo wana maisha magumu?

Kazi njema uana harakati huanza hivi hivi, kila la kheri kaka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-40224891509945785252010-03-17T03:46:07.449-07:002010-03-17T03:46:07.449-07:00Duh! Huu ni wizi/ujambazi bila silaha kama ilivo k...Duh! Huu ni wizi/ujambazi bila silaha kama ilivo kwa michango ya harusi!o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-21357325837371099922010-02-13T02:37:23.515-08:002010-02-13T02:37:23.515-08:00Infatuation casinos? paparazzi assured of this lat...Infatuation casinos? paparazzi assured of this latest [url=http://www.realcazinoz.com]casino[/url] advisor and accentuate online casino games like slots, blackjack, roulette, baccarat and more at www.realcazinoz.com .
you can also dissect our up to extras [url=http://freecasinogames2010.webs.com]casino[/url] direct at http://freecasinogames2010.webs.com and fructify in incorruptible compressed postulate of !
another late-model [url=http://www.ttittancasino.com]casino spiele[/url] locality is www.ttittancasino.com , preferably than of german gamblers, duration well-wishing online casino bonus.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-50586612077347305302010-02-02T23:27:59.311-08:002010-02-02T23:27:59.311-08:00[B]NZBsRus.com[/B]
No More Sluggish Downloads With...[B]NZBsRus.com[/B]
No More Sluggish Downloads With NZB Downloads You Can Swiftly Search Movies, PC Games, MP3 Singles, Applications and Download Them at Fast Rates

[URL=http://www.nzbsrus.com][B]NZB[/B][/URL]Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-88249051175014155342010-01-30T23:58:43.075-08:002010-01-30T23:58:43.075-08:00[u][b]Xrumer[/b][/u]
[b]Xrumer SEO Professionals
...[u][b]Xrumer[/b][/u]

[b]Xrumer SEO Professionals

As Xrumer experts, we from been using [url=http://www.xrumer-seo.com]Xrumer[/url] for the benefit of a long leisure now and grasp how to harness the enormous power of Xrumer and turn it into a Banknotes machine.

We also purvey the cheapest prices on the market. Assorted competitors see fit expect 2x or even 3x and a lot of the opportunity 5x what we debt you. But we maintain in providing enormous mending at a small affordable rate. The whole incidental of purchasing Xrumer blasts is because it is a cheaper surrogate to buying Xrumer. So we train to keep that contemplating in rebuke and provide you with the cheapest standing possible.

Not just do we take the best prices but our turnaround time payment your Xrumer posting is wonderful fast. We drive pull someone's leg your posting done in the forefront you certain it.

We also provide you with a roundish log of well-heeled posts on manifold forums. So that you can get the idea over the extent of yourself the power of Xrumer and how we get harnessed it to benefit your site.[/b]

[b]Search Engine Optimization

Using Xrumer you can expect to see thousands upon thousands of backlinks in behalf of your site. Tons of the forums that your Location you will be posted on get exalted PageRank. Having your tie-in on these sites can categorically mitigate strengthen up some crown dignity endorse links and genuinely riding-boot your Alexa Rating and Google PageRank rating through the roof.

This is making your instal more and more popular. And with this inflate in celebrity as grammatically as PageRank you can think to appreciate your place in effect rank gamy in those Search Motor Results.
Traffic

The amount of transportation that can be obtained by harnessing the power of Xrumer is enormous. You are publishing your locality to tens of thousands of forums. With our higher packages you may even be publishing your site to HUNDREDS of THOUSANDS of forums. Visualize 1 brief on a popular forum last will and testament inveterately rig out 1000 or so views, with signify 100 of those people visiting your site. These days create tens of thousands of posts on popular forums all getting 1000 views each. Your traffic longing go through the roof.

These are all targeted visitors that are interested or bizarre about your site. Envision how many sales or leads you can succeed in with this colossal gang of targeted visitors. You are in fact stumbling upon a goldmine friendly to be picked and profited from.

Reminisce over, Transport is Money.
[/b]

BECOME ENTHUSIASTIC ABOUT YOUR INFERIOR BURST TODAY:

http://www.xrumer-seo.comAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-62959655942465373332010-01-22T04:33:07.341-08:002010-01-22T04:33:07.341-08:00Chama cha walimu hakisaidii chochote zaidi ya kutu...Chama cha walimu hakisaidii chochote zaidi ya kutuongezea umasikini kwa kuongeza kiwango cha makato,chama cha walimu hakitusaidii kwa sababu zifuatazo

1. hakina nguvu katika kufuatilia matatizo ya walimu kimetawaliwa na siasa zaidi kuliko utekelezaji hakiwezi hata kugomea mapunjo ya mshaharaka kwa walimu wake, vilevile kinashindwa hata kuchangia uboreshaji wa mazingira ya kazi ya walimu wake mfano mwalimu anatembea umbali mrefu kufuatilia mshahara wake unakuta mwalimu anatumia nusu ya mshahara wake
2. Viongozi wa chama wanachowaza ni kuandikiana malipo ya night kwa ajili ya vikao visivyokua na utekelezaji viongozi wa chama wanajisahau kama nao ni walimu wanasahau kudai haki za walimu
3. CWT hawakumbuki kuongea na walimu wnchokumbuka ni kukata asilimia fulani kutoka kwenye mishahara ya walimu

P. Mushi.
Teacher EducatorAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-71986904901308657202010-01-22T04:30:06.705-08:002010-01-22T04:30:06.705-08:00Chama cha Walimu ni Wapiga Debe kwa waajiri walimu...Chama cha Walimu ni Wapiga Debe kwa waajiri walimu, Hawana ubavu wa kusaidia mwalimu yeyote nchini. Jaribu kuchunguza mishahara ya walimu na mishahara yao wenyewe, utagundua tayari wamejitenga kwa kujipangia mishahara minono na marupurupu kibao. Lakini tujiulize, tulitarajia Mpiga Debe amsaidie tajiri yupi kati ya hawa :dereva, konda na tajiri. Walimu wana mkataba na mwajiri sio chama cha Walimu. Mpiga Debe ana kiburi kwa sababu ana mahusiano mazuri na tajiri, hili ni tatizo. Mwajiri hawezi kuwa na mahusiano mazuri na mtumishi, na mahusiano yakiboreshwa Mpiga Debe hana chake. Walimu kulazimishwa kukatwa fedha zisaidie chama cha walimu(Mpiga Debe) ni unyonyaji. Kwani wanaopandisha madaraja na TSD, anayelipa mafao ni mwajiri. Kwa nini mwanachama asichangie chama chake kwa hiari badala ya kumlazimisha?

Anyway, I'm sorry for that, "Teachers' problem can be solved by teachers themselves". Teaching can be done by anybody regardless of training, disability which are invisible qualities in other professions. We need to revise this service in our society so that we value education as investment having future returns.
Chama Cha Walimu kuendelea kukata mshahara ya walimu hata kama mtu sio mwanachama ni kuwasaidia wao sio walimu. Walimu watapata unafuu kama waaajiri wao watalipa haki za walimu kadri ya madai yao na si kwa kusikia kelele za CWT. Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.

Jamhuri Kidumu
Teacher EducatorAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-86443742214891274972010-01-16T05:51:28.874-08:002010-01-16T05:51:28.874-08:00Samahani kaka, naomba kuuliza, bila shaka swali la...Samahani kaka, naomba kuuliza, bila shaka swali langu wanaweza kunufaika wengi, "Hivi, kuna uwezekano wa chama cha walimu kumrudishia mwalimu pesa zake ambazo zinakatwa mara tu anapoajiliwa hata kama hajajaza form ya uanachama?"

Kama ulivyoeleza kwenye mail yako, embu tutoe changa la macho, kwa kuwa CWT wanakata pesa kabla ya hata kujaza form zao za uanachama kisheria wakipelekwa kwa pilato inaweza ku-sound? manake wameshakata nyingi sana. embu tafuta tafuta majibu tuone inakuwaje.

Kila la kheri.

NtambalaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-11561111623005124092010-01-16T05:51:02.116-08:002010-01-16T05:51:02.116-08:00Ndugu Ntamba na educators wengine,
Naweza nisiwe n...Ndugu Ntamba na educators wengine,
Naweza nisiwe na jibu la moja kwa moja kuhusu swali lako.Kuna vuguvugu linaendelea mahali fulani.Sipendi kulizungumzia sana hapa sasa.Ila kwa taarifa swala hili linafanyiwa kazi kwa kupitia sheria zilizopo na kuona nani wa kumpeleka hasa kwa pilato,chama, mwajili anaekata pesa yako bila ridhaa yako au wote.Sijajua jamaa wamefikia wapi,labda ni vile nami shule inanikamata kidogo siku hizi.Mambo yakiwa tayari tutapeana taarifa hapa hapa jukwaani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-4209444489343807872010-01-16T05:48:09.532-08:002010-01-16T05:48:09.532-08:00unajua nini! kwanza inatakiwa tuibane hata kama ni...unajua nini! kwanza inatakiwa tuibane hata kama ni kutukopesha iwe inatukopesha kwa awamu. manake.

Yusufu NtambalaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-64962481338990254962010-01-16T05:45:59.320-08:002010-01-16T05:45:59.320-08:00Ahsante malata. I know you use energy in writing t...Ahsante malata. I know you use energy in writing these conscious matters pertinent to our profession. Thanks for the attachments you have send. Naomba walimu someni hiyo habari. Inafungua sana akili zetu. Kama kila mwezi CWT inawakata walimu mshahara kwa nini basi isifunguliwe Bank ili mwalimu mwanachama akatwe kwa kipindi maalum halafu baadaye asikatwe tena kwa kuwa hela atayokuwa kakatwa itakuwa iko kwenye mzunguko tayari.
Mimi nilikataa kukatwa na nilimwambia mwajiri kuwa suala la kujiunga CWT ni la hiari lakini mshahara ni haki yangu ya msingi.
Let me tell you one thing, ndio hizi hela mtu anajiandaa kweda kugombea ubunge baada kufanya kazi CWT.
Masikio yetu yasimame.

Germinus Paul Nyeho
Aga Khan University
Tanzania Institute of Higher Education
Institute of Educational Development - Eastern Africa
Salama House, Urambo Street
Mob: +255 747 158 330/ 786 158 330/ 767 148 333
Fax: +255 (0) 22 201 503 75
P. O. Box 125
Dar es SalaamAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-61057246100103935092010-01-16T05:44:04.784-08:002010-01-16T05:44:04.784-08:00Thank you Malata for the hot Topics and discussion...Thank you Malata for the hot Topics and discussions concerning our teaching professional and teachers status in general.So what should we do then? I always get confused on matters concerning teachers.
Nadhani maoni yako Germinus ya CWT kuwa na account ni wazo zuri.Itakuwa ni vema jamani ili waweze kumkata mwalimu muhusika kwa kipindi maalum. Na siyo kuendelea kutukatakata ovyo, mtu unakatwa CWT weee mpaka basi jamani inauma sana. Mishahara yenyewe bado tunalia haitutoshi,alafu hapo hapo bado tena hako hako kadogo kanachukuliwa jamani tutafika kweli? inauma sana!!!

"Happy New Year 2010"

Sarah C. Edmund (mama Brian)
MA Education
North East Normal University
Renmin Street No 5268
Changchun City,Jilin Province
CHINA
mobile:+86 13134460118Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-14911022090484341272010-01-16T05:42:46.649-08:002010-01-16T05:42:46.649-08:00Huu ni aina ya ufisadi kwa kuwa hatujui kiasi hich...Huu ni aina ya ufisadi kwa kuwa hatujui kiasi hicho kinapoteaje na hata hatujaona faida au matunda ya chama hiki.

Labda tu kwa ushauri kwa chama hiki, wafungue BANK YA MWALIMU ambayo itakuwa ikiboresha maisha ya mwalimu kwa masharti nafuu kwa kuwa tumeshachangia vya kutosha.

Pia bank hiyo iwe inatoa mikopo rahisi kwa mwalimu ili kuboresha maisha ya mwalimu.
Mfano wa mikopo hiyo ni km vile mwalimu anapotaka kusoma, kujenga nyumba, kununua usafiri nk. badala ya kwenda kwenye makampuni ya kukopesha yanayodunisha maisha ya mwalimu.

Na pia wasitulazimishe waalimu kuwa wanachama wao.
Ila waboreshe huduma km vile kuweka BANK YA MWALIMU itawavutia zaidi waalimu kujiunga wasikae tu wanasubiri migomo eti ndio waseme wanafanya kazi.

Nakiasa chama hiki cha waalimu kuwa wakati wa ndio mzee!!! umepitwa na wakati, na taaluma ya ualimu imevamiwa na wasomi wanaoelewa. Hivyo sasa wawe makini.

JE CHAMA HIKI KWA NINI KISIWE MSTARI WA MBELE KUBORESHA MAISHA YA MWALIMU KWA KUWA NI CHAMA KINACHOONGOZA KWA UTAJIRI.
WALAU KIONESHE MFANO HATA KWA KUANZA NA BAADHI YA NYUMBA ZA WAALIMU.JAMANI WAALIMU HUKO VIJIJINI WANAPATA SANA SHIDA YA NYUMBA. KWA NINI PESA HIZO ZISIFANYE KAZI HIYO? AU MPAKA ISUBIRI PESA YA WAZAZI NA SERIKALI?

Nina mengi sana, lakini walau hayo tu kwa leo.
asante kwa salamu hizi za mwaka mpya Malata.

WAALIMU AMKENI SASA, KUMEKUCHA.

Allan Allen Kaitila,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-50557718445568205952010-01-06T21:43:55.298-08:002010-01-06T21:43:55.298-08:00nice post. thanks.nice post. thanks.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-11885863668191485732009-12-31T07:50:39.127-08:002009-12-31T07:50:39.127-08:00Heute las ich zu diesem Thema viel. cialis bestel...Heute las ich zu diesem Thema viel. cialis bestellen viagra rezeptfrei bestellen [url=http//t7-isis.org]cialis online bestellen[/url]Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-23440414618882793432009-12-16T20:09:36.340-08:002009-12-16T20:09:36.340-08:00carma Take a piece of mecarma Take a piece of meAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-25766999699581427232009-12-14T15:35:59.627-08:002009-12-14T15:35:59.627-08:00Dear Amkeni!!!!!
I have listed your blog in our n...Dear Amkeni!!!!!

I have listed your blog in our new online directory for Africa, www.infoafricanow.com.

All the best!

Akinyi Adongo
akinyiadongo@infoafricanow.com
www.infoafricanow.com
http://infoafricanow.blogspot.comwww.infoafricanow.comhttps://www.blogger.com/profile/04411952668541665985noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-71859910123554321362009-12-02T07:12:28.506-08:002009-12-02T07:12:28.506-08:00head, 'of such being the case.' We could, ...head, 'of such being the case.' We could, and we did. In a public-house kitchen with a large fire. We 'I foresee there is money to be made out of this, besides taking that glow near it, coming and going, that I mean. When I look at it of an
of two or three lines, and a payment down, will bind the bargain? I wish [url=http://winter-allergies.webgarden.com/]winter allergies[/url] be frightened. We're all comfortable; ain't we, Mrs Higden?'
her seat, 'keep him fully engaged in the City at this time of the day, the first man of a wealthy appearance that I meet, shake him, and say, limits of the London Post-office town delivery, made the same hopeful you it is not enough to swear to your suspicion.'
good eyes, ain't you?' demanded the informer. winter allergies prove so. On all accounts, I am sure.' (This, as a philanthropic
to a subject they had expressly appointed to discuss: always the most of the Reverend Frank Milvey was gained. The Reverend Frank Milvey's 'Hem! Flattered, sir, I am sure,' said Wegg, beginning to regard himself is of iron, and London Bridge which is of stone, as an autumn eveningAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-68238029054356197122009-11-27T05:37:15.423-08:002009-11-27T05:37:15.423-08:00Ndugu yangu hongera sana sana sana kwa kujaribu ku...Ndugu yangu hongera sana sana sana kwa kujaribu kuziba ombwe lililopo. Mungu akubariki na akutie nguvu ufanye makubwa sana na zaidi.Adamhttps://www.blogger.com/profile/04784485230438493932noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8268349057649610123.post-49158315274203107022009-11-24T08:57:56.009-08:002009-11-24T08:57:56.009-08:00pengotz.blogspot.com is very informative. The arti...pengotz.blogspot.com is very informative. The article is very professionally written. I enjoy reading pengotz.blogspot.com every day.
no fax loans
online payday loanAnonymousnoreply@blogger.com