Napenda kuwafahamisha kuwa Vitabu vyangu vya "SAYANSI ENDELEVU" kwa sasa vinapatikana madukani.Sayansi Endelevu ni mfululizo wa vitabu vya sayansi ambavyo vimeandawa kwa kuzingatia muhutasari mpya wa sayansi uliotolewa mwaka 2005 na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.Vitabu hivi pamoja na Kiongozi cha Mwalimu vimeandaliwa kwa ustadi mkubwa kwa kuzingatia dhana na malengo ya yaliyokusudiwa kwa darasa husika.
Sayansi Endelevu ni mfululizo wa Vitabu vilivyoandaliwa na kampuni ya uchapishaji ya Longhorn Publishers [T] ltd na vimeidhinishwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kutumika kama Vitabu vya kiada Katika Shule za msingi hapa nchini.
Kwa mahitaji yako ya Vitabu hivyo,Tafadhali wasiliana nami kupitia anuani hapo chini au Piga simu namba 0714 18 44 65 au 0782 36 60 90 AU 0754 351 868
Au Andika kwa:
Longhorn Publishers [T] ltd
S.L.P 1237
DAR ES SALAAM
TANZANIA.
AU Fika Chuo cha Ualimu Vikindu na Uliza Mr. Malata AU Mr. Mpeka nawe utasaidika.
WASHIRIKI ZAIDI YA 1000 KUSHIRIKI KONGAMANO LA WAFAWIDHI JIJINI ARUSHA
-
NA Vero Ignatus,Arusha
CHAMA cha wafawidhi wa matukio nchini Tanzania (KISIMA CHA MAFANIKIO )
wameandaa kongamano la kuongeza uelewa na maarifa kuhusu ta...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment