Historia ya South Africa haiwezi kukamilika bila kumtaja mtu huyu.Na ndio maana huwezi kuingia Chuo kikuu cha Sokoine bila kukutana na Picha hii na maelezo haya katika geti la kuingilia chuoni hapo.Nafikiri tunahitaji kujifunza zaidi kuhusu mtu huyu.Wengi wetu huwa tunapita hapo pasipo hata kujua mtu huyu hasa ni nani na alifanya nini katika kupigania uhuru wa nchi yake.
MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA SULUHU HASSAN AKISALIMIANA NA KUOMBA KURA KWA
WANANCHI JIMBO LA UYOLE
-
Na Said Mwishehe,Mbeya
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha
Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akisalimiana Wananch...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment