Aliyekuwa mwenyekiti wa sekretarieti ya wakufunzi waliohudhuria kozi ya ICDL kituo cha Mpwapwa Ndg.Kidumu J.O akitoa muhtasari wa mafunzo hayo kabla ya kumkaribisha mkuu wa chuo cha Ualimu Mpwapwa Ndg Jumbani kuhitimisha mafunzo.
Hapa mkuu wa chuo cha Ualimu Mpwapwa ndg Jumbani akitoa mawaidha siku ya kuhitimisha mafunzo ya ICDL kwa wakufunzi waliokuwa kituo cha mpwapwa
GEL yawafungulia milango fursa za elimu duniani wanafunzi 387
-
Na Mwandishi Wetu.
GLOBAL Education Link (GEL) imewakabidhi nyaraka rasmi za safari wanafunzi
387 wa Kitanzania wanaotarajia kwenda kuendelea na masomo ya ...
1 hour ago




No comments:
Post a Comment